• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 24, 2013

  SIMBA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA TAIFA LEO, MNYAMA ALISHIKWA PABAYA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Felix Sunzu akipiga krosi pembeni yake beki wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Issa rashid katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mtibwa ilishinda 1-0.  

  Haruna Chanongo akimtoka Issa Rashid

  Kocha wa Mtibwa Mecky Mexime (kulia) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake


  Chanongo akiwatoka Issa Rashid na Vincent Barnabas

  Kulia ni Chanongo akigombea mpira na Issa Rashid kushoto na aliyeipa mgongo kamera ni Shaaban Nditi akiwa tayari kutoa msaada

  Haruna Moshi 'Boban' akitoa pasi mbele ya Said Mkopi

  Mrisho Ngassa akipambana

  Beki wa Mtibwa, Salum Sued akimdhibiti kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto

  Amri Kiemba amedondoka chini katikati, Felix Sunzu anaondoka na mpira dhidi ya Shaaban Nditi

  Salvatory Ntebe amelala kuondoa mpira miguuni mwa Chanongo


  Said Mkopi amelala kuondoa mpira miguuni mwa Kiggy Makassy

  Kikosi cha Simba leo

  Kipa wa Mtibwa, Hussein Sharrif 'Cassillas' akiokoa moja ya hatari langoni mwake

  Kikosi cha Mtibwa leo

  Mrisho Ngassa huyooo

  Salvatory Ntebe akimdhibiti Sunzu

  Kipa wa Simba, Juma Kaseja akiwa ameenda hewani kudaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Mtibwa

  Kocha wa Simba, Mfaransa Patrick Liewig akitoa maelekezo kwa kipa na Nahodha wa timu yake, Juma Kaseja

  Cassillas amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Mrisho Ngassa

  Cassillas amedaka hewani, huku Sunzu akiwa mawindoni chini ya ulinzi wa Ntebe

  Amir Maftah akimtoka mchezaji wa Mtibwa, Jamal Mnyate

  Ntebe na Sunzu

  Mrisho Ngassa akipambana Shaaban Nditi

  Shaaban Kisiga akigombea mpira na Shomary Kapombe

  Kisiga akimiliki mpira mbele ya Kapombe

  Shaaban Nditi akipiga mpira

  Rashid Gumbo akigeuka na mpira mbele ya Kapombe


  Ally Mohamed 'Gaucho' wa Mtibwa akikabiliana na Kiggi Makassy wa Simba

  Juma Kaseja kushoto akielekea nyavuni baada ya Mtibwa kufunga

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SIMBA NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA TAIFA LEO, MNYAMA ALISHIKWA PABAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top