![]() |
| Kocha Stewart Hall akiwapungia mikono mashabiki baada ya mechi kuwashukuru kwa kuishangilia timu yake |
![]() |
| Kipre Tchetche akifurahia baada ya mechi |
![]() |
| Aliyepiga magpoti ni Kipre Tchetche akishangilia bao la tatu huku akipongezwa na wenzake |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam, John Bocco baada ya kumlamba chenga hadi chini beki wa Nasir anaambaa na mpira kulia |
![]() |
| Sumu ya leo; Huyu ndiye kawaua Wasudan, Kipre Tchetche akikimbilia mpira |
![]() |
| Azam wakiomba dua Mungu aliyoisikia kabla ya mechi |
![]() |
| Abdi Kassim 'Babbi' kushoto akigombea mpira na beki wa Nasir |
![]() |
| Kipre Tchetche akimtoka beki wa Nasir kwa chenga za hatari |
![]() |
| Beki Malika Ndeule akijiandaa kupiga krosi |
![]() |
| Beki David Mwantika akiwatoka washambuliaji wa Nasir |
![]() |
| Kipre Tchetche akimlamba mtu chenga |




















.png)