• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 25, 2013

  BALOTELLI AITIWA NDIZI NA MASHABIKI WA INTER SAN SIRO

  MSHAMBULIAJI Mario Balotelli aifanyiwa hila za kibaguzi na mashabiki wa Inter Milan wakati alipokabiliana na klabu yake hiyo zamani kwa kuonyeshwa ndizi. 
  Shahidi ambaye hakutaka kutajwa, aliionyesha Sportsmail  video ambayo mashabiki fulani wa Inter waliinua ndizi kumuonyesha mshambuliaji huyo wa AC Milan katika mechi hiyo. 
  Licha ya kejeli hizo za kibaguzi, Balotelli alikuwa mtulivu na kuendelea kucheza na kuwajibu kwa kuweka kidole mdomoni mwake.
  Temper temper: Balotelli argues with Inter stalwart Javier Zanetti
  Balotelli akibishana na na mchezaji wa Inter, Javier Zanetti
  Crowd: Some Inter fans waved bananas at Balotelli at the San Siro
  Mashabiki wakionyesha ndizi kumkejeli Balotelli Uwanja wa San Siro
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BALOTELLI AITIWA NDIZI NA MASHABIKI WA INTER SAN SIRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top