// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NSA KWENDA INDIA JUMATATU BAADA YA KUFUNGUA HOGO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NSA KWENDA INDIA JUMATATU BAADA YA KUFUNGUA HOGO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 16, 2012

    NSA KWENDA INDIA JUMATATU BAADA YA KUFUNGUA HOGO

    Mshambuliaji wa Coastal Union ya Tanga, Nsa Job Mahenya (Jumatatu) ataondoka Jumatatu nchini kwenda India kwa matibabu zaidi ya goti. Mkurugenzi wa Ufundi wa Coastal, Nassor Bin Slum amesema Nsa amefungua plasta gumu (PoP) leo na sasa anajiandaa kwa safari hiyo ya India, kwa matibabu zaidi. Nsa aliumia goti hilo Oktoba 28, mwaka huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya JKT Ruvu, Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NSA KWENDA INDIA JUMATATU BAADA YA KUFUNGUA HOGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top