• HABARI MPYA

  Tuesday, May 16, 2017

  SERENGETI BOYS NA MALI KATIKA PICHA JANA LIBREVILLE

  Mshambuliaji wa Tanzania, Abdul Suleiman (kulia) akienda chini baada ya kuzidiwa maarifa na kipa wa Mali, Youssouf Koita (katikati) na kukosa bao la wazi katika mchezo wa kwanza wa Kundi B Fanali za Vijana Afrika chini ya umri wa miaka 17 jana Uwanja wa wa l’Amitie Sino mjini Libreville, Gabon timu hizo zikitoka sare ya bila kufungana.
  Muhsin Makame wa Serengeti Boys akimtoka mchezaji wa Mali, Mamadou Samake
  Yohana Nkomola wa Tanzania (kushoto) akimiliki mpira mbele ya Ibrahim Kane wa Mali
  Ally Ng'anzi wa Serengeti Boys akiwafunga msafara wachezaji wa Mali
  Mshambuliaji wa Mali, Aboud Salam Jiddou akipambana na wachezaji wa Mali (katikati)
  Kipa wa Tanzania, Ramadhan Kabwili akiwa amedaka moja ya hatari langoni mwake
  Israel Patrick Mwenda wa Tanzania akiondoka na mpira kwa mehsabu dhidi ya mchezaji wa Mali
  Manahodha wa Mali, Mohamed Camara (kushoto) na Dickson Nickson (kulia) wakiwa na marefa wa mchezo huo 
  Kikosi cha Tanzania katika mchezo wa jana na chini kikosi cha Mali

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA MALI KATIKA PICHA JANA LIBREVILLE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top