• HABARI MPYA

  Saturday, May 13, 2017

  POLE PAUL POGBA KWA KUFIWA NA BABA MZAZI

  BABA mzazi wa kiungo wa Ufaransa na Manchester United, Paul Pogba amefariki jana Ijumaa akiwa ana umri wa miaka 79.
  Fassou Antoine Pogba alikuwa na anasumbuliwa na maradhi kabla ya kifo chake na familia yake kwa masikitiko makubwa imethibitisha kifo chake huko Le Parisien. 
  Fassou aliondoka nchini kwake kwa asili, Guinea akiwa ana umri wa miaka 30 kuhamia mjini Paris, Ufaransa.
  - nchi ambayo mwanawe, Paul amechagua kuichezea katika soka ya kimataifa.
  Watoto wake wengine wawili, Florentin na Mathias, waliamua kubaki kuichezea nchi yao ya asili, Guinea.
  Paul Pogba akiwa na baba yake (kulia) mwezi Machi mwaka huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POLE PAUL POGBA KWA KUFIWA NA BABA MZAZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top