• HABARI MPYA

    Saturday, November 12, 2016

    WAROMANIA 'WAMCHOMA MOTO' LEWANDOWSKI, NAYE AWAPIGA MBILI POLAND YASHINDA 3-0

    Wachezaji wa Poland wakimlalamikia refa baada ya nahodha wao, Robert Lewandowski kurushiwa moto na mashabiki wa wenyeji, Romania katika mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi. Mchezo ulisimama kwa dakika 10 kutokana na tukio hilo na Lewandowski alipatiwa huduma ya kwanza kabla ya mchezo kuendelea na Poland kushinda 3-0, mabao ya Kamil Grosicki dakika ya 11 na Lewandowski mawili dakika ya 83 na 90 na ushei kwwa penalti  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAROMANIA 'WAMCHOMA MOTO' LEWANDOWSKI, NAYE AWAPIGA MBILI POLAND YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top