• HABARI MPYA

  Saturday, November 05, 2016

  CHELSEA YAPAA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA 5-0 EVERTON

  Wachezaji wa Chelsea wakisherehekea ushindi wa 5-0 dhidi ya Everton usiku huu Uwanja wa Stamford Bridge, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Eden Hazard mawili dakika za 19 na 56, Marcos Alonso dakika ya 20, Diego Costa dakika ya 42 na Pedro dakika ya 56 na kwa ushindi huo, The Blues wanapanda kileleni kwa kufikisha pointi 25 baada ya kucheza mechi 11, wakiiteremshia nafasi ya pili Manchester City yenye pointi 24 za mechi 11 pia  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAPAA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA 5-0 EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top