• HABARI MPYA

    Sunday, November 13, 2016

    BALE AFUNGA WALES YATOA SARE 1-1 NA SERBIA

    Winga wa Wales, Gareth Bale akirusha mpira katika mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Serbia usiku wa jana Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1Bale akitangulia kuifungia Wales dakika ya 30 kabla ya Aleksandar Mitrovic kuisawazishia Serbia dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AFUNGA WALES YATOA SARE 1-1 NA SERBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top