• HABARI MPYA

  Monday, November 07, 2016

  ANNETTE NA THE UNIT WALIVYOKONGA NYOYO UZINDUZI WA THURAYA

  Mwanamuziki Annette Seghito Ngongo akiimba na bendi ya The Unit Ijumaa kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Courtyard, Sea View, Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa simu za Thuraya
  Annette alikonga nyoyo za waalikwa kwenye shughuli hiyo
  Maelezo kuhusu simu za Thuraya ambazo zipo katika mfumo tofauti na simu za mkononi zilizozoeleka nchini
  Waalikwa wakisikiliza kwa makini kuhusu simu za Thuraya 
  Waalikwa walijipatia elimu ya kutosha kuhusu simu za Thuraya
  Maofisa wa Thuraya wakiwaelimisha waalikwa kuhusu simu za Thuraya 
  Waalikwa wakifuatilia kwa makini maelezo kuhusu simu za Thuraya
  Baada ya elimu kuhusu simu za Thuraya, ikafuatia pati fupi ya wima na burudani ya bendi ya The Unit ikiongozwa na mwanadada Annette
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANNETTE NA THE UNIT WALIVYOKONGA NYOYO UZINDUZI WA THURAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top