• HABARI MPYA

  Wednesday, October 12, 2016

  NGOMA ALIVYOIFUNGIA YANGA BAO LA TATU KWA USTADI MKUBWA LEO

  Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma akienda juu kuifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Mzambia Obrey Chirwa na mzalendo Simon Msuva, wakati la Mtibwa lilifungwa na Haroun Chanongo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NGOMA ALIVYOIFUNGIA YANGA BAO LA TATU KWA USTADI MKUBWA LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top