• HABARI MPYA

  Tuesday, October 11, 2016

  ANDRE SILVA APIGA HAT TRICK URENO YA RONALDO YAUA 6-0

  Kinda wa miaka 20, Andre Silva (kulia) akipongezwa na Nahodha wake, Cristiano Ronaldo baada ya kuifungia hat trick Ureno katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Faroe Islands kwenye mchezo wa Kundi B Uwanja wa Torsvollur, Torshavn, Streymoy usiku wa jana. Silva alifunga dakika za  (12, 22, 37), wakati mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 65, Joao Moutinho dakika ya 90 na ushei na Joao Cancelo dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANDRE SILVA APIGA HAT TRICK URENO YA RONALDO YAUA 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top