• HABARI MPYA

  Wednesday, February 02, 2022

  MASHABIKI 35,000 KUSHUHUDIA SIMBA NA ASEC FEB 13


  MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kwamba wameruhusiwa kuingiza mashabiki 35 katika mchezo wa kwanza hatua ya makundi kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosa ya Ivory Coast Februari 13, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI 35,000 KUSHUHUDIA SIMBA NA ASEC FEB 13 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top