• HABARI MPYA

  Wednesday, February 02, 2022

  AZAM FC YAWATIA PINGU YOSSO WAKE HADI 2025


  KLABU ya Azam FC imewaongezea mikataba wachezaji wake chipukizi wawili, Pascal Msindo na Tepsie Evance wa mwaka mmoja kila mmoja juu ya mikataba yao ya awali.
  Taarifa ya Azam FC imesema kwamba mikataba yao ya awali ilikuwa inaisha mwaka 2024, lakini kwa nyongeza waliyoifanya leo, ina maana kwamba wataendelea kupiga kazi Chamazi hadi mwaka 2025.
  Wachezaji hawa ni zao la akademi yetu waliyojiunga nayo mwaka 2016.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAWATIA PINGU YOSSO WAKE HADI 2025 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top