• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 24, 2020

  KLITSCHKO AMTEMBELEA EVANDER AKIJIANDAA KUMVAA MIKE TYSON

  Gwiji wa ndondi, Evander Holyfield akisalimiana na Wladimir Klitschko aliyemtembelea mazoezini mkongwe huyo katika kambi yake ya kujiandaa kurejea ulingoni akiwa na umri wa miaka 57 kupambana na mpinzani wake wa siku nyingi, Mike Tyson PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KLITSCHKO AMTEMBELEA EVANDER AKIJIANDAA KUMVAA MIKE TYSON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top