• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 18, 2020

  AWAMU YA PILI YA UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX YAANZA KWA KASI CHAMAZI, SASA NI MAJUKWAA

  Baada ya ukarabati wa sehemu ya kuchezea (pitch) kukamilika vizuri, sasa Azam FC imeanza rasmi kukarabati majukwaa ya mashabiki kwenye Uwanja wake wa Azam Complex, uliopo Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
  Mafundi tayari wameanza kutoa mbao zilizochakaa kwenye majukwaa yote ndani ya Azam Complex, kabla ya kumalizia na zoezi la kuweka mbao mpya katika sehemu za kukalia za mashabiki
  Mafundi wakitoa mbao zilizochakaa kwenye majukwaa ya Azam Complex ili waweke mpya
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AWAMU YA PILI YA UKARABATI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX YAANZA KWA KASI CHAMAZI, SASA NI MAJUKWAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top