• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 28, 2020

  MAFUNDI JONAS MKUDE, DEO KANDA NA NYOA WENGINE MAZEOZINI JANA SIMBA SC IKIJIANDAA KUMALIZIA SHUGHULI

  Viungo wa Simba SC, Jonas Mkude (kushoto) na Mkongo Deo Kanda (kula) wakikimbia jana Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam katika siku ya kwanza ya timu yao kurejea mazoezini  kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  Viungo wa Simba SC, Said Ndemla (kulia) na Shiza Kichuya (kushoto) wakikimbia mazoezini
  Nahodha wa Simba SC, mshambulaji John Raphael Bocco akiwa mazoezini jana Bunju
  Beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Erasto Edward Nyoni akiwa mazoezini jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAFUNDI JONAS MKUDE, DEO KANDA NA NYOA WENGINE MAZEOZINI JANA SIMBA SC IKIJIANDAA KUMALIZIA SHUGHULI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top