• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 23, 2020

  KIPA HODARI WA YANGA SC, METACHA BONIPHACE MNATA AKIJFUA KWA BIDII UFUKWENI KUJIWEKA FITI

  Kipa wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata akifanya mazoezini ufukweni mwa Bahari ya Hindi kujiweka fiti akisubiri wito wa mazoezi ya pamoja na wachezaji wenzake baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID17 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIPA HODARI WA YANGA SC, METACHA BONIPHACE MNATA AKIJFUA KWA BIDII UFUKWENI KUJIWEKA FITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top