• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 27, 2020

  BAYERN MUNICH YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND 1-0 UJERUMANI

  Joshua Kimmich akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao pekee dakika ya 43 ikiwalaza wenyeji, Borussia Dortmund 1-0 kwenye mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Signal-Iduna-Park Jijini Dortmund jana. Ushindi huo unawafanya Bayern Munich waongoze Bundesliga kwa pointi saba zaidi ya Dortmund zikiwa zimesala mechi sita hivyo kukaribia kutwaa taji la nane mfululizo la ligi hiyo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND 1-0 UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top