• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 16, 2020

  NAHODHA WA YANGA SC, PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AMBAVYO ANAJIFUA KWA BIDII KILA SIKU KUJIWEKA FITI ZAID

  Kiungo Mkongo na Nahodha wa Yanga SCm Papy Kabamba Tshishimbi akifanya mazoezi na rafiki zake mchangani kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAHODHA WA YANGA SC, PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AMBAVYO ANAJIFUA KWA BIDII KILA SIKU KUJIWEKA FITI ZAID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top