• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 04, 2020

  RONALDO AMNUNULIA MAMA YAKE BENZ MPYA KALI

  NYOTA wa Juventus, Cristiano Ronaldo amemzawadia mama yake, Maria Dolores, Mercedes Benz mpya katika kusherehekea Siku ya Mama duniani.
  Na Maria Dolores mwenye umri wa miaka 65, ambaye hivi karibuni alipelekwa hospitali baada ya kupooza ameposti kwenye social media kumshukuru mwanawe kwa zawadi hiyo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AMNUNULIA MAMA YAKE BENZ MPYA KALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top