• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 12, 2020

  MSHAMBULIAJI WA TP MAZEMBE, THOMAS EMMANUEL ULIMWENGU AKIJIFUA PEKE YAKE NYUMBANI KWAKE LUBUMBASHI KUJIWEKA FITI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu akifanya mazoezi peke yake nyumbani kwake Jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kipindi hiki klabu yake, TP Mazembe imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI WA TP MAZEMBE, THOMAS EMMANUEL ULIMWENGU AKIJIFUA PEKE YAKE NYUMBANI KWAKE LUBUMBASHI KUJIWEKA FITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top