• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 02, 2020

  KIPA MKENYA WA YANGA SC, FAROUK SHIKARO ANAENDELEA NA MAZOEZI KAMA KAWAIDA NYUMBAN KWAO MOMBASA

  Kipa wa Yanga SC, Farouk Shikharo (kushoto) akiwa na mwenzake kwao, Jijini Mombasa nchini Kenya kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya vikosi vyake kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIPA MKENYA WA YANGA SC, FAROUK SHIKARO ANAENDELEA NA MAZOEZI KAMA KAWAIDA NYUMBAN KWAO MOMBASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top