• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 07, 2020

  MESSI ALIPOWASILI BARCELONA KUANZA TENA KUJIFUA NA WENZAKE

  Nyota wa Argentina, Lionel Messi akiwa amevaa Barakoa kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 mara baada ya kuwasili Uwanja wa mazoezi wa Barcelona ili kuanza kujifua pamoja na wenzake kwa mara ya kwanza baada ya miezi miwili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI ALIPOWASILI BARCELONA KUANZA TENA KUJIFUA NA WENZAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top