• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 10, 2020

  KIPA MKONGWE, JUMA KASEJA AKIJIFUA NA BEKI WA TIMU YA WANAWAKE YA SIMBA SC, FATUMA ISSA 'DENSA' UFUKWENI

  Kipa wa KMC ya Kinondoni, Juma Kaseja akiwa mazoezini na beki wa timu ya wanawake ya Simba, Fatuma Issa 'Densa' ufukweni mwa Bahari ya Hindi, Dar es Salaam kipindi hiki klabu zao zimesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIPA MKONGWE, JUMA KASEJA AKIJIFUA NA BEKI WA TIMU YA WANAWAKE YA SIMBA SC, FATUMA ISSA 'DENSA' UFUKWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top