• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 13, 2020

  BEKI ANDREW VINCENT CHIKUPE AU 'DANTE' AKIJIFUA NA RAFIKI ZAKE KUJIWEKA FITI AREJEE NA MOTO WAKE YANGA SC

  Beki wa Yanga SC, Andrew Vincent Chikupe 'Dante' akiwa mazoezini na rafiki zake Jijini Dar es Salaam kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI ANDREW VINCENT CHIKUPE AU 'DANTE' AKIJIFUA NA RAFIKI ZAKE KUJIWEKA FITI AREJEE NA MOTO WAKE YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top