• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 16, 2020

  KIUNGO NYOTA WA SIMBA SC, CLATOUS CHAMA AKIWA MWENYE FURAHA KABISA NYUMBANI KWAO ZAMBIA

  Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama ameposti picha hii akiwa mwenye furaha nyumbani kwao kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO NYOTA WA SIMBA SC, CLATOUS CHAMA AKIWA MWENYE FURAHA KABISA NYUMBANI KWAO ZAMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top