Kiungo wa timu ya wanaume ya Yanga SC, Mnyarwanda Haruna Niyonzima akiwa na beki wa timu ya wanawake ya Simba SC, Fatuma Issa 'Densa' mazoezini ufukweni mwa Bahari ya Hindi, Dar es Salaam kipindi hiki klabu zao zimesitisha mazoezi ya vikosi vyake baada ya zuio la Serikali kufuatia mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
When is World Cup 2026 opening ceremony? Start time and who is performing
at tournament curtain-raiser
-
There will be three opening ceremonies for this year’s World Cup
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment