• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 12, 2020

  KIUNGO FUNDI SAID HAMISI NDEMLA AKIPIGA MATIZI UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI KUJIWEKA FITI

  Kiungo wa Simba SC, Said Hamisi Ndemla akicheza mpira ufukweni mwa bahari ya Hindi, Dar es Salaam kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO FUNDI SAID HAMISI NDEMLA AKIPIGA MATIZI UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI KUJIWEKA FITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top