• HABARI MPYA

  Wednesday, May 06, 2020

  MIKE TYSON ANAVYOJIANDAA KUREJEA ULINGONI UZEENI

  Bondia mstaafu, Mike Tyson mwenye umri wa miaka 53 (kushoto) akiwa gym kujijndaa kurejea uliangoni tangu alipopigana kwa mara ya mwisho Juni 11, mwaka 2005 na kushindwa kwa pinti na Kevin McBride ukumbi wa MCI Center Jijini Washington. Promota wa ngumi Jijini Melbourne, Brian Amatruda amempa Tyson ya kurudi ulingoni kwa pambano na gwji wa Rugby, Sonny Bill Williams nchini Australia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MIKE TYSON ANAVYOJIANDAA KUREJEA ULINGONI UZEENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top