• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 20, 2020

  TRENT ALEXANDER-ARNOLD MAZOEZINI NA WENZAKE LIVERPOOL LEO

  Beki wa Liverpool Trent Alexander-Arnold akiwa mazoezini leo Uwanja wa Melwood kujiandaa kumalizia msimu wa Ligi Kuu ya England baada ya mapumziko ya miezi mbili kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TRENT ALEXANDER-ARNOLD MAZOEZINI NA WENZAKE LIVERPOOL LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top