• HABARI MPYA

  Ijumaa, Mei 01, 2020

  PAMBANO LA DILLIAN WHITE NA POVETKIN SASA JULAI MANCHESTER

  Promota Eddie Hearn amesema pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu kati ya Dillian Whyte (kushoto) na Alexander Povetkin (kulia) litafanyika bila watazamaji  ukumbi wa Manchester Arena, England mwishoni mwa Julai au mwanzoni mwa Agosti kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona kipindi hiki misongamano ya watu imezuiwa duniani kote sababu ya mlipuko wa virusi hivyo vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID 19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PAMBANO LA DILLIAN WHITE NA POVETKIN SASA JULAI MANCHESTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top