• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 28, 2020

  AZAM FC WALIVYOREJEA MAZOEZINI JANA CHAMAZI KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU

  Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akikokota mpira jana katika siku ya kwanza ya timu yake kurejea mazoezini  kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  Kiungo wa Azam FC, Iddi Suleiman Nado akikokota mpira jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam  
  Kiungo wa Azam FC, Frank Raymond Domayo akichezea mpira jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam 
  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akikimbia mazoezini wanja wa Azam Complex jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOREJEA MAZOEZINI JANA CHAMAZI KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top