WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete (baadaye Rais), akisalimiana na winga wa Taifa Stars, Said Maulid Kalikula ‘SMG’ kabla ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya Mei 18, mwaka 2002 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Harambee Stars ilishinda 5-0 na wengine kutoka kulia ni beki John Mwansasu na kiungo Shekhan Rashid wakati kushoto ni kiungo Shaaban Ramadhani na mshambuliaji Nteze John.
Draymond Green Says Warriors' 2022 NBA Championship Is 'Ultimate F--k You'
-
Golden State Warriors star Draymond Green discussed the unique feel to the
team's triumph over the Boston Celtics in the 2022 NBA Finals as the Dubs
captur...
Dakika 9 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni