• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 27, 2020

  WACHEZAJI YANGA SC WALIPOPIMWA CORONA JANA TAYARI KUANZA MAZOEZI KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU

  Daktari wa Yanga SC, Shecky Mngazija (kushoto) akiwapima wachezaji wa timu hiyo jana tayari kuanza mazoezi kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WACHEZAJI YANGA SC WALIPOPIMWA CORONA JANA TAYARI KUANZA MAZOEZI KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top