• HABARI MPYA

  Wednesday, May 27, 2020

  WACHEZAJI WA SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO MBALIMBALI KABLA YA KUANZA MAZOEZI LEO KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU

  Daktari akimpima beki wa Simba SC leo tayari kuanza mazoezi kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  Beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) akipima uzito huku akishuhudiwa na mchezaji mwenzake, kiungo Said Ndemla
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA SIMBA SC WAFANYIWA VIPIMO MBALIMBALI KABLA YA KUANZA MAZOEZI LEO KUJIANDAA KUMALIZIA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top