• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 24, 2020

  YANGA SC ILIPOICHAPA SIMBA 1-0 1992 BAO PEKEE LA KENNY MKAPA

  Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru (sasa Taifa) Jijini Dar es Salaam. Bao hilo pekee la Yanga lilifungwa na beki wa kushoto, Kenneth Pius Mkapa dakika ya 10 akimtungua kipa hodari, Mwameja Mohamed.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC ILIPOICHAPA SIMBA 1-0 1992 BAO PEKEE LA KENNY MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top