• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 27, 2020

  BARCA YATUMIA JANGA LA CORONA KUJIONGEZEA PATO, YAUZA BARAKOA

  KLABU ya Barcelona imekitumia kwa manufaa kipindi cha maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 kwa kutoa Barakoa za aina tatu na kuingiza kwenye soko la bidhaa zake kila moja ikiuzwa kwa Pauni 16 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCA YATUMIA JANGA LA CORONA KUJIONGEZEA PATO, YAUZA BARAKOA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top