• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 16, 2020

  SHABIKI 'LIA LIA' WA YANGA ACHANGAMKIA BARAKOA YA BURE YA WAPINZANI WAO WA JADI SIMBA SC LEO DAR ES SALAAM

  Shabiki wa Yanga SC akiwa amevaa jezi ya klabu yake na barakoa ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC baada ya kupewa leo Jijini Dar es Salaam
  Klabu ya Simba leo ilikuwa inagawa barakoa bure Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHABIKI 'LIA LIA' WA YANGA ACHANGAMKIA BARAKOA YA BURE YA WAPINZANI WAO WA JADI SIMBA SC LEO DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top