MAREHEMU KIZOTA ENZI ZAKE SIMBA NA MARSHA, MADARAKA
WACHEZAJI wa Simba SC kutoka kulia, Mustapha Hoza, Mwanamtwa Kihwelo, Hussein Marsha, Said Mwamba ‘Kizota’ (sasa marehemu) na Madaraka Suleiman ‘Mzee wa Kiminyio’ wakiingia uwanjani katika moja ya moja mechi zao msimu wa mwaka 1995.
0 comments:
Post a Comment