• HABARI MPYA

    Thursday, May 28, 2020

    KAPTENI PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE YANGA MAZOEZINI JANA DAR

    Nahodha wa Yanga, kiungo Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi (kushoto) akikimbia na beki Ali Ahmad Ali  jana katika siku ya kwanza ya timu yake kurejea mazoezini  kujiandaa kumalizia msimu baada ya zuio la tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
    Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa akitoa maelekezo kwa wachezaji jana 
    Wachezaji wa Yanga wakijivuta mazoezini jana Jijini Dar es Salaam
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAPTENI PAPY KABAMBA TSHISHIMBI ALIVYOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE YANGA MAZOEZINI JANA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top