• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 03, 2020

  NYOTA WA COASTAL UNION 1988 KABLA YA KUICHAPA PAMBA SC 1-0

  Wachezaji wa Coastal Union ya Tanga kutoka kushoto kipa Mwameja Mohamed, beki Yassin Abuu Napili na kiungo Kassa Mussa wakiwa na marefa Army Santamea (sasa Mchungaji) na Omar Juma (sasa marehemu) wote wa Mwanza kabla ya mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1988 dhidi ya wenyeji, Pamba SC Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Coastal Union ilishinda 1-0 na kujisafishia njia ya ubingwa wao pekee wa ligi hiyo msimu huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WA COASTAL UNION 1988 KABLA YA KUICHAPA PAMBA SC 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top