• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 02, 2020

  KOCHA WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE ZA WANAWAKE, BAKARI NYUNDO SHIME AKIPIGA TIZI UFUKWENI KUUWEKA MWILI SAWA

  Kocha Mkuu wa timu za taifa za wanawake, Bakari Nyundo Shime akifanya mazoezi ufukweni kujiweka fiti kipindi hiki michezo imesitishwa duniani kote kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE ZA WANAWAKE, BAKARI NYUNDO SHIME AKIPIGA TIZI UFUKWENI KUUWEKA MWILI SAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top