• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 10, 2020

  FUNDI WA MPIRA KUTOKA GISENYI, HARUNA NIYONZIMA AKIPIGA TIZI LA MAANA UFUKWENI KUJIWEKA VIZURI

  Kiungo Mnyarwanda wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akifanya mazoezi na wachezaji wa timu mbalimbali ufukweni mwa bahari ya Hindi, Jijini Dar es Salaam kujiweka fiti kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FUNDI WA MPIRA KUTOKA GISENYI, HARUNA NIYONZIMA AKIPIGA TIZI LA MAANA UFUKWENI KUJIWEKA VIZURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top