• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 02, 2020

  'TANZANIA ONE' AISHI SALUM MANULA ANAVYOENDELEA KUJIIMARISHA KWA MAZOEZI YA NGUVU AENDELEE KUNG'ARA SIMBA SC

  Kipa namba wa Simba SC na timu ya taifa ya Tanzania, Aishi Salum Manula akifanya mazoezi binafsi kujiweka fiti zaidi kipindi hiki klabu yake imesitisha mazoezi ya pamoja kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: 'TANZANIA ONE' AISHI SALUM MANULA ANAVYOENDELEA KUJIIMARISHA KWA MAZOEZI YA NGUVU AENDELEE KUNG'ARA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top