• HABARI MPYA

  Tuesday, May 26, 2020

  MKALI WA MABAO, MEDDIE KAGERE AWASILI DAR TAYARI KUANZA MAZOEZI SIMBA SC KESHO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU

  Mshambuliaji wa Simba SC, Meddie Kagere (kushoto) akiwa na Mratibu wa timu hiyo, Abbas Suleiman baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam tayari kuanza mazoezi na timu yake baada ya kuvunja kambi tangu katikati ya Machi kwa hofu ya mambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKALI WA MABAO, MEDDIE KAGERE AWASILI DAR TAYARI KUANZA MAZOEZI SIMBA SC KESHO KUJIANDAA KUMALIZIA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top