• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 24, 2020

  BAYERN MUNICH YAICHAPA FRANKFURT 5-2 BUNDESLIGA

  Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao wa 5-2 dhidi ya Frankfurt katika mchezo wa Bundesliga, mabao ya Leon Goretzka dakika ya 17, Thomas Muller dakika ya 41, Robert Lewandowski dakika ya 46, Alphonso Davies dakika ya 61 na Martin  Hinteregger aliyejifunga dakika ya 74 ambaye pia alifunga mabao yote ya timu yake dakika za 52 na 55. Kwa ushindi huo, Bayern Munich inaendelea kuongoza Bundesliga kwa pointi nne zaidi ya Borussia Dortmund (61-57) baada ya tmu zote kucheza mechi 27 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAICHAPA FRANKFURT 5-2 BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top