Beki Pablo Zabaleta akiwa amerushwa juu na wachezaji wenzake baada ya kuichezea Manchester City mechi ya mwisho Uwanja wa Etihad usiku wa Jumanne akihitimisha miaka yake tisa ya mafanikio kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya West Bromwich Albion. Mabao ya Man City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 27, Kevin De Bruyne dakika ya 29 na Yaya Toure dakika ya 57, wakati la WBA limefungwa na Hal Robson-Kanu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tragedy as footy legend dies in crash on his way to Anzac Day dawn service
-
Former Maori All Blacks captain Dinny Ratema Mohi has died after being
involved in a car crash.
58 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment