

![]() |
| Kiungo wa Tanzania, Assad Ali akienda chini kuondosha mpira miguuni mwa Jelson Joao Mivo wa Angola |
![]() |
| Mfungaji wa bao la kwanza la Tanzania, Kevin Nashon Naftal akiwatoka wachezaji wa Angola |
![]() |
| Shaaban Zubeiry Ada wa Serengeti Boys akimtoka mchezaji wa Angola, Fiete Quintas Agostinho dos Santos |
![]() |
| Enrick Vitalis Nkosi wa Tanzania nyuma ya mchezaji wa Angola |
![]() |
| Beki wa Angola, Miguel Anselmo Basilio Daniel akiokoa mpira kwa kichwa dhidi ya Abdul Suleiman wa Tanzania |
![]() |
| Kikosi cha Serengeti Boys jana na chini ni kikosi cha Angola |










.png)
0 comments:
Post a Comment