Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 60 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Southampton usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St Mary's. Bao la pili la Arsenal limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment